Answered step by step
Verified Expert Solution
Link Copied!

Question

1 Approved Answer

SeHemu I Onyesho I ( Alasiri . Mabula amelala juu ya sofa kuukuu. Kelele za watoto wanaocheza nje zinasikika na kumfanya Mabula kuzinduka. Anajaribu kutazama

SeHemu I Onyesho I (Alasiri. Mabula amelala juu ya sofa kuukuu. Kelele za watoto wanaocheza nje zinasikika na kumfanya Mabula kuzinduka. Anajaribu kutazama huku na kule lakini anaonekana kulemewa na usingizi. Anasonya na kurejelea usingizi wake. Kelele zinapungua kisha kwa mbali zinasikika sauti za watoto zikiimba. Sauti hizi zinamwamsha Mabula.) Sauti: Ukuti ukuti Wa mnazi wa mnazi Ukiona upepo Watetema tema tema Watetema tema tema. Mabula: (Anapousikia wimbo huu anajinyoosha huku akienda miayo. Amekasirika.) Hata mtu anapouhitaji ukimya hawezi kuupata? Kiwiliwili kinataka utulivu lakini wapi! Huu sasa ni wakati wakuubwaga moyo lakini utaubwagaje katika zogo hili? Muhali! (Baada ya kimya.) Kumbe ulimwengu unapomtema mtu haumsazi? Laiti hawa wangalielewa! Wa

Step by Step Solution

There are 3 Steps involved in it

Step: 1

blur-text-image

Get Instant Access to Expert-Tailored Solutions

See step-by-step solutions with expert insights and AI powered tools for academic success

Step: 2

blur-text-image

Step: 3

blur-text-image

Ace Your Homework with AI

Get the answers you need in no time with our AI-driven, step-by-step assistance

Get Started

Students also viewed these Databases questions

Question

recognise typical interviewer errors and explain how to avoid them

Answered: 1 week ago

Question

identify and evaluate a range of recruitment and selection methods

Answered: 1 week ago

Question

understand the role of competencies and a competency framework

Answered: 1 week ago